Mona Lisa (pia huitwa La Gioconda ambayo kwa Kiitalia ina maana ya mwanamke mchangamfu) nimchoro maarufu wa mwanzoni mwa karne ya 16, kazi ya na mwanasayansi namchoraji Leonardo da Vinci.
Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri zaidi duniani kote. Kwa sasa mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesho (makumbusho) la mjini Paris(Ufaransa) maarufu kama Louvre.
0 Comments