Jiandae Kupata Mixtape Mpya Kutoka Kwa Jesus Ndani Ya Wiki Hii

Mixtape mpya na kali yenye ngoma 9 inatarajiwa kutoka ndani ya wikii hii kutoka kwa mwanaharakati na msanii JESUS kama unavyoona jina lake ni mkombozi na hautajutia kupata mixtape hiyo ambayo itasambazwa kwa sh za kitanzania sh 3000

jitahidi usiikose kwasababu utakosa ukombozi wa kifikra,pale itakapokuwa tayari tu habari zitafika mbali na mawasiliano jinsi ya kuipata yatawekwa

Post a Comment

0 Comments