Kelvin Carter Muandishi Aliyejiua Kwa Kushindwa Kumuokoa Mtoto Sudan 1994

Picha hii ilipigwa mwaka 1994 huko nchin Sudan. Alikuwa mtoto mdogo asiye jiweza baada ya kukukosa lishe bora. Alikuwa akijikokota kuelekea katika sehemu ambayo walikuwa wanatoa msaada wa chakula, huku nyuma yake akinyemelewa na ndege ambaye upenda mizoga anayejulikana kwa jina la Tai ambaye naye alikuwa akitaka kumla.

Inasadikika mpigaji picha ilimchukua ziada ya dk 20 kupiga picha na kuipata aipendayo kuliko kutoa msaada kwa mtoto huyo. Kijana huyo alikufa muda mchache baada ya kupigwa picha hii na haikujulikana kama aliliwa na huyo ndege au la!! Watoto wengi wa Afrika wanakufa kwa kukosa lishe bora.

Post a Comment

0 Comments