Alifahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama E-Sir. Alikuwa akifanyia shughuli zake
katika studio ya Ogopa DJs.
alikuwa maarufu kwa uwezo wake wa kuimba kwa lugha safi
ya Kiswahili . Na bado huonekana kama Muimbaji wa rap bora sana kuwahi kutokea
nchini Kenya.
Alikuja kujulikana mwaka 2001 na wimbo wakea wa
"Jo", Nimefika
ft Big Pin
Wimbo huo ulifanya E-Sir's ajulikane katika mziki wa Kenya na uliwekwa katika
albamu ya Ogopa
Deejays
E-Sir alikufa katika ajali ya barabarani tarehe 16 Machi
2003, akiwa na mwenzake Nameless. Nameless alinusurika katika ajali hiyo ambayo walikuwa njiani kutoka mji wa Nakuru ambapo walikua na show pamoja na kuipromote album yake.
Mashabiki wake walikuwa na huzuni na mshangao mkubwa
baada ya kusikia juu ya msanii huyu shupavu. Hii ni kwa sababu kifo chake
kilikuja wakati nyimbo zake zilikuwa zimeanza kufana sana nchini na east africa.
Nyimbo zilizojulikana zaidi ni kama "Mos Mos,"
"Boomba Train," "Hamunitishi" na "Leo ni Leo."
Kuna wimbo mmmoja uliotokea baada ya kifo chake. Alifanya na Nameless unaitwa "Maisha".
0 Comments