baba na mama weusi wazaa mtoto mzungu huko london

Hapo ni mke na mume, Angela na Ben Ihegboro wanaishi London. Angela amejifungua mtoto ambae ni mzungu halisi tofauti na rangi ya wazazi. Ben anasema huyo ni mwanae wa damu na mkewe hakuwahi kuchepuka. Habari hiyo imechukua headlines ktk media nyingi pale London. Scientists wanasema a baby is mutant, kwamba there was a process of change of genes in one or two parents. Ingekuwa hapa bongo moto ungewaka

Post a Comment

0 Comments