Huyu ndiye muuwaji wa police watano huko Dallas ,USA

Muuaji wa Polisi watano huko Dallas ambaye ni MICAH JOHNSON (25) ndiye aliyelenga shabaha 🔫(sniper) na kuua polisi katika maandamano .Aliwahi kuwa Mwanajeshi, kabla ya kuuwawa alisema kakasirishwa mauaji ya weusi juzi

Post a Comment

0 Comments