TANZANIA: Wakazi na Adili waingia kwenye vita ya maneno
Get Mdundo android app
Tweet
22 .07 . 2016
Rapper mkongwe na hitmaker wa ‘Peke Yangu’ Adili Mkwela aka Hisabati ameingia kwenye vita vya maneno na rapper Wakazi.
Issue yenyewe ilianzia mbali na kisha kuja kuchochewa na post ya Wakazi July 19 kwenye Instagram.
“Kuna Msanii anaitwa @adili_chapakazi anadai nimemuibia jina lake (CHAPAKAZI) na kuanza kujiita WAKAZI. Well Ngoja niwape asili ya jina “Wakazi”. Hiyo picha hapo juu Nipo na mama Yangu mzazi (Rachel) ambae aliniita jina Wakazi wakati nikiwa Nina umri wa Miaka 3 hadi 7. Nimekulia nyumba ambayo watoto tulikuwa wengi na Mimi ni mmoja wa waliokuwa wanajituma sana (if you ask me, nilikuwa napenda sifa),” aliandika Wakazi kwenye picha akiwa na mama yake.
“Nilivyoanza kwenda shule nikaacha kulitumia ila mama Yangu tu ndio aliendelea kuniita hivyo but others wakaacha. Nilikuwa na rap names nyingi (TLG: Thug Livin Genius was most famous) Ila nilivyofika marekani (Chicago) 2004 nikalazimika kubadili na ndio nikarudia ASILI. Sasa huyu msanii amenipita Miaka 4, so wakati naitwa Wakazi mara ya kwanza (at 3 yrs old) yeye alikuwa 6 or 7 yrs old. Kweli Hata kujua kwamba angekuja kuwa rapper alikuwa anajua?! Je Wakazi na Chapakazi ni Sawa?! AU MWANA KAONA WAKAZI DILI SO ANATAFUTA KIKI?! Naombeni MNISAIDIE … #KamaAnatakaKikiAseme #Tutamposti #JinaNilipewaNaMAMA #YeahNiggaImPettyAsFvck,” aliongeza.
Adili alikaa kimya hadi Alhamis hii alipopost picha ya zamani akiwa jukwaani na kuandika: Tbt#Rhymin Since Birth# in case u dont know.”
Kwenye comments alianza kufunguka zaidi: Wakati niliemzidi miaka mitatu unadhani kwa hii picha yeye alikuwa ana miaka mingapi? MTU hana hata hit moja na bado ananyimbo na mixtape kadhaa na video kumi na tano na jamii haimjui dooh# shidaa# instagram rappers# will do nothing for numbers# mc followers na likes# fanyeni Kazi acheni mambo ya likes# sisi tumepiga Kazi hata kipindi hicho hata YouTube haipo#wala Fb# na Tanzania ili tutambua. I mean instagram rappers will do anything for numbers.”
Wakazi alimjibu: You tag me you want me to see you huh?! Why don’t you get in the booth and show us what you got bitch boy?! @adili_chapakazi I guess ulikuwa unaitwa MC Chapakazi nchi nzima ikakujua umri huo hadi mama Yangu akanizaa na kuniita Wakazi in your honor. #LostOnes. Fanya uwezalo Au utakalo, but you can’t f*ck with me on the mic period. Na on some real life shit, you just proven you a bitch & a snitch.”
Adili alirudi tena: Wewe uliandika na kuni tag siyo? Au umesahau? Anyway ukishapata hit# ndio uje kuongea na Mimi..otherwise switch Kazi yako maana unacho jua Zaidi ni ubishi# nakubishana unakipaji kugombana na kila msanii ni kipaji pia# peace#
Wakazi aliendelea: Wewe Ndio una hits sio?! where they at?! Sijawahi kuona msanii wa hiphop ya ukweli anaongelea “hit song” Kama vile mkata viuno. Bila hit na tayari nimeshalipiwa ticket Za Ndege kwenda nchi Za Watu kuiwakilisha Tanzania kimuziki. Wewe je, what have you done? @adili_chapakazi you a bitch & a snitch..”
Adili akajibu mapigo: Umelipiwa ticket za ndege ? Doh haya basi utalipiwa vingi# maana unapenda kulipiwa# this is my last msg# unfollow me then# don’t write anything here# ur not welcome# sina Muda wa kugombana na wewe # kama hujui historia yangu basi, ulikuwa on Dipper’s, kama hujui Kazi za Chapakazi hatuwezi kubishana# kwaheri.

0 Comments