Star wa muziki wa Pop Nchini Marekani Justin Bieber ameamua Kuifuta Account yake ya Instagram kufatia vita ya Maneno kati yake na X wake wa zamani Selena Gomez.
Bieber ambaye kwasasa anatoka na mwanadada Sofia Richie alijikuta akishindwa kuhimili matusi aliyokuwa akitupiwa na mashabiki kwenye account yake ya Instagram na akaamua kuanza kwa kuifanya account kuwa Private kabla ya Kuifuta kabisa.
0 Comments