Album hiyo imeingia sokoni Jumatano siku yao ya kuzaliwa na ina jumla ya nyimbo 10.
Wasanii walioshirikishwa kwenye Ghetto Love ni pamoja na Mansu Li,Nikki Mbishi,Saraha, Damian Soul na wengine huku watayarishaji wakiwa ni pamoja na Fundi Samweli, DX wa Noiz Maker na wengine.
ILI KUWEZA KUPATA ALBUM HIYO UNAWEZA KUWASILIANA NAO KUPITIA NAMBA HII 0712715705 ... #PKP
0 Comments