Baadhi Kuhusu Miungu Wa Egypt

Lakini kwa maono yangu, Huwa naona ule uzao wa Nut na Geb ndio wenye mamlaka ya kurun Dunia! Yaani Isis, Osiris, Seth, na Nephtysis. Huyu Seth tunaambiwa na wamisri kuwa alikuwa ndo muovu wa kwanza kwa kumuua Kaka yake Osiris kwa kumgawanya vipande vipande! 
Mbali na kuwa Seth alishika mamlaka ya kuutawala ulimwengu kwa muda ila alikuja kunyang'anywa mamlaka na Horus! Ambae anatoka kwenye familia ya ISis na OSiris! 
Kifupi tunaambiwa kuwa Familia hii ikawa na mamlaka ya Ulimwengu kabisa! Huku Osiris/Mungu baba Akitawala Underword na mwanae Horus/Ra Akitawala Ulimwengu! Na mama Isis akiwa ni mjumbe wa pande zote mbili juu na Chini!/Messenger/ Roho mtakatifu.
Nguvu ya Utatu wa hao watatu ndiyo inayourun ulimwengu hadi sasa, tangu siku Seth alipopinduliwa na Horus/RA.
Pia nguvu hiyo ya Utatu mtakatifu huwa kamilifu na yenye nguvu kuu pale Ra anapoungana na Oddoad god ajulikanaye kama Amon/Amun/Amen.
Huyu ni mmoja wa miungu Nane ya asili Katika dunia. 
Hii ilikuwepo kabla hata ya Atum/Adam/Tem/ Mwanadamu wa kwanza kushuka ulimwenguni, Atum mwenyewe alikiri kwa Osiris kuwa Wakati anafika Ulimwenguni kwa mara ya kwanza alimkuta Amen akiwa hapa tayari! Maana ya Amun ni Nguvu isiyoonekana! 
Odoad Gods ina miungu nane, hao ni wakongwe.

Miungu hao ni.
Nun na mkewe Naunet
Hehe na mkewe Hauhet
Kuk na mkewe Kauket
Amen na mkewe Amaunet

Wote hawa wana Vipawa tofauti mfano Hehe na mkewe Hauhet wao kazi yao ni kuusimamia Muda! Huyu ndiye Mungu wa muda/Mungu wa Miaka milioni na mlinzi wa Taifa la Misri kwa miaka milioni!

Na hao wengine pia wana majukumu yao kama Kek na Giza,
Nun na water of chaos!

Sasa kile kizazi cha Adam cha watoto Watatu yaani ISIS, OSIRIS, HORUS, kikishirikiana bega kwa bega na AMEN ndiyo wanaourun Ulimwengu kwa sasa! 

Nategemea Maoni yenu wasomaji, 
Kukosolewa pia 
Ili tupate majibu ya mchawi ni nani Africa, na hii laana Imetokea wapi!? ISIS na wengine karibuni sana.
 Heh

Post a Comment

0 Comments