Video,TIDAL ya Jay Z wamuita Ali Kiba #TheUnstoppable wakati wa Show ya ‘OneAfrica’




Bongo Fleva super staa Ali Kiba yupo London nchini Uingereza kwenye tamasha kubwa la wasanii wa Afrika #OneAfricaMusicFestLondon na kwenye TIDAL ya Jay Z ambapo walikuwa wakionyesha show hii waliandika kuhusu wasanii tofauti akiwemo Ali Kiba kupitia #TIDALXOneAfrica.
    The unstoppable @OfficialAliKiba is live right now in #London: TIDAL.com/OneAfrica #TIDALXOneAfrica

Post a Comment

0 Comments