DJ Khaled ametangaza ujio wa colabo yake na Drake


DJ Khaled ametangaza ujio wa colabo yake na Drake, wimbo huu umeitwa “To the Max.” na kava la wimbo ni picha ya mtoto wa kiume wa Dj Khaled ‘Asahd’.
Wimbo huu upo kwenye album ya Dj Khaled Grateful ,humo watasikika wasanii kama from BeyoncéJay ZDrakeJustin BieberChance the RapperLil WayneQuavo, na ,Rihanna.


Post a Comment

0 Comments