Mansa Musa (kiongozi wa Mali kati ya miaka ya 1280-1331) au Mali Empire ya wakati uo, wenye kusoma somo la historia Tanzania wanafahamu kidogo kuhusu yeye, na alikuwa na utajiri wa dollar billion 400
Rothschild Familly wa miaka ya 1740 mfanyabiashara wa kibenki yeye anashika namba mbili kwa kuwa na utajiri uliofikia dollar za kimarekani 350 billion
John D. Rockefeller mfanyabiashara wa viwanda aliyeishi kati ya miaka ya 1839-1937 na alikuwa na utajiri unaofikia kiasi cha dollar za kimarekani billion 340
Osman Ali Khan and Asaf Lah vii kiongozi wa mwisho wa Hyderabad kati ya miaka ya 1886-1967 na alikuwa na utajiri unaofikia dollar 236 billion
Kama jina lake linavyojieleza hapo juu alikuwa Mfalme wa Uingereza kati ya miaka ya 1028-1087 na alikuwa na utajiri unaofikia dollar billion 229.5
Muammar Gaddafi kiongozi wa zamani wa Libya na alikuwa na utajiri wa dolla 200 billion za kimarekani (1942-2011)
Henry Ford, mwanzilishi wa kampuni kubwa la Ford Motor Corporation(1863-1947) alikuwa na utajiri wa dollar za kimarekani 199 billion
Alan Rufus, mpiganaji wa William the Conquerer (1040-1093) na alikuwa na utajiri wa dollar za kimarekani 178.65 billion
Ingawa amerudi kuwa tajiri namba moja kwa sasa Duniani lakini bado hajawafikia hao jamaa hapo juu kwa sasa ana utajiri wa 136 billion dollar
0 Comments