Langa, Gangster Lyrics

Nimefanya kwa mapenzi ya dhati na huu mziki mzuri wa Langa Kileo .. i do for love... hakuna malipo kabla na baada ya kuupload nyimbo hii. Video halisi ya gangster inapatikana hapa Langa, Gangster Official Video
Pia, napenda mziki wa Langa usikilizwe na kutazamwa, watu watambue mashairi yake Nadhani mpendwa wetu atafurahi huko alipotutangulia. 
 
Pumzika kwa amani LANGA KILEO #RIPLangaKileo 1985 - 2013
 
 

Post a Comment

0 Comments