Album mpya ya Kanye west inaitwa The Life of Pablo.
Final track list for The Life Of Pablo
1:58 AM - 11 Feb 2016
76,966 90,545
KANYE WEST
@kanyewest
Ikiwa imebaki siku moja rapper huyo hatimaye ametangaza jina la album yake mpya.
Awali alitangaza kuwa shabiki yoyote atakeyeweza kupatia maana ya neno hilo atapata tiketi ya kwenda kwenye listening party na maonesho ya msimu mpya wa Yeezy season 3 na pair mpya za viatu vya Yeezy.
Jina la album hiyo limebadilishwa mara tatu.
0 Comments