hii ni moja ya screenshot ambayo inatoka instagram kwenye kurasa ya kaka au dj wa diamond platnum ROMY JONES .IKIMUONYESHA star huyo akiwa amepiga picha aina ya selfie na msanii mkubwa wa marekani na mwenye jina kubwa kwa sasa kwaajili ya kuzungumzwa kwenye vyombo vingi vya habari KANYE WEST
0 Comments