Msafara wa Mazishi ya Bondia Mkongwe Muhammad Ali

Maelfu wamejipanga barabarani ili kumuaga bondia Maarufu Muhammad Ali wakati msafara ukipita kuelekea mji wa kwao Louisville, Kentucky ambapo leo June 10 2016 anatarajiwa kuzikwa huko.

Post a Comment

0 Comments