Ni kweli young dee akitumia madawa ya kulevya?,aeleza hapa

22 2016 Rapper kutoka bongoflevani Young
Dee amerudi rasmi kwenye uongozi wake wa
zamani wa MDB Record ambao uko chini ya
Maximilian Rioba,miongoni mwa vitu
alivyoviongea rapper huyo ni pamoja na kukiri
kutumia dawa za kulevya kwa mwaka mmoja na
miezi minne.
Mbele ya Waandishi wa habari,

Young
Dee amesema >’Young Dee mnayemuona sasa
hivi sio yule wa zamani ambaye alikuwa akitrend
kwenye mitandao ya kijamii kweli nilikuwa
nikitumia madawa ya kulevya kwazaidi ya mwaka
sasa, lakini ninachomshuuru mungu nikuwa siku
fikia hali yampaka nipelekwe Rehab‘.

Post a Comment

0 Comments