Wakati alipokuwa akitumikia kifungo hicho, kuna
mambo tofauti yalijitokeza katika maisha yake
kama tetesi za kuachana na Minaj na pia
alishinda tuzo ya Billboard ya Best Rap Album.
Meek alikuwa mjini Los Angeles na mpenzi wake
Nicki pamoja na rafiki zake akifurahia kumaliza
kifungo chake hicho. Hizi ni baadhi ya picha:
0 Comments