Wapenzi wa muziki wa Justine Bieber hii ni kwa ajili yenu, Usiku wa June 8 2016 Bieber ameachia video mpya ya hit single kutoka katika album yake ya ‘Purpose’ album ambayo inafanya vizuri mitandaoni, Bieber kaamua kuachia video rasmi ya hit single yake ya ‘Company’,
0 Comments