ABDUL KIBA KUJIUNGA NA WCB?

katika mitandao ya jamii,kuna habari imesambaa kwamba abdul kiba anataka kujiunga na WCB,iliyokua chini ya DIAMOND PLATNUM

Abdul kiba akanusha taarifa hoyo na haya ndio maneno aliyoyasema,

"Si kweli kama watu walivyomaanisha nashangaa taarifa ambazo zinasambaa kuwa mimi ninaweza kukaa mezani na kusaini WCB hapana mimi sikumaanisha hivyo kwa sababu kwanza mimi niko chini ya Lebel yangu ambayo wanasimamia muziki wangu, halafu kwenye upande wa kuimba sidhani kama upande ule ninaweza kupata madini zaidi ya huku"


Post a Comment

0 Comments