Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi (HESLB), akimbia mahojiano EATV

Inashangaza sana, mtangazaji wa EATV, Samsoni Charles ameelezea jinsi alivyokuwa na mawasiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razak Badru mpaka dakika 25 tu zilizopita.

Mkurugenzi Mtendaji huyo ameahidi kuwa baada ya dakika 20 atakuwepo ofisi ya EATV kwaajili ya mahojiano kuhusu

"UKOSEFU WA MIKOPO KWA WANAFUNZI WENYE SIFA ZOTE ZA KUPATA MIKOPO"

Baadaye tena akasema after 5 minutes atakuwepo hapo, baada ya ya dakika 5 Samson akampigia simu Mkurugenzi akasema amepata hudhuru.

Post a Comment

0 Comments