(je wajua)..mchezo wa kubet ulisababisha ajali ya ndege?

Tarehe 20 october 1986 ndege kubwa aina ya aeroflot flight 6502 ilidondoka ikiwa inatua na kuua watu 70 kati ya 96 waliokuwemo kwenye ndege hiyo.

Baada ya uchunguzi kufanyika ikabainika kuwa rubani mkuu aliweka dau (bet) ya $ 1000 kwa rubani msaidizi kwamba anaweza kushusha ndege uwanjani akiwa kafumba macho,hivyo wakafunga mapanzia na madirisha ili wasione nje na kumruhusu rubani huyo atue na kusababisha ajali

Rubani mkuu alifanikiwa kutoka kwenye ajali hiyo na alifungwa kifungo cha miaka 15

Post a Comment

0 Comments