Soma Ushairi Wa Michael Jackson Kwa Kiswahili - They Don’t Care About Us (hawajali kuhusiana nasi).
nitoe ngozi ya kichwa...,nichinje niache mfu
kila mtu anakufa kinyama
hii hali,ubaguzi
kila mtu anatuhuma
ktk habari wanaonekana wakifanywa chakula cha mbwa (watu weusi)
wanapigwa risasi
kila mtu anachanganyikiwa
ninachotaka kusema ni kwamba hawajali hata kidogo kuhusiana nasi
nipige nichukie
ila huwez kunivunja
nitumikshe nitishe
ila huwez kuniua
nibague(myahudi) nishitaki
kila mtu anitese
nipige
uwe mweusi uwe mweupe
ninachotaka kusema ni kwamba hawajali hata kidogo kuhusiana nasi
nambie ni aina gani ya maisha niishi
nina mke na watoto wawili wanaonipenda sana
mimi ni muhanga wa mateso ya polisi na sasa
nimechoka kuwa mtumwa wa chuki
mumenifunga kwa kunichukua ghafla kutoka kule nilipokua naringa kuwepo (utumwa kutoka africa)
ila kwaajili ya mungu
naangalia mbinguni ili kukamilisha unabii wake
niachieni huru
kunichana kichwani,kunchinja na kunacha mfu
kila mtu anakufa kinyama
uwoga,uvumi
kila mtu anatuhuma
ktk habari tunaona
kila mtu kawa chakula cha mbwa
mtu mweusi,anakua msaliti
anamsweka mwenzake jela
ninachotaka kusema ni kwamba hawajali hata kidogo kuhusiana nasi
niambieni nini ni haki yangu sasa
nakua mtukutu kwasababu munanipinga
serikali yenu ilitangaza na kuniahid nitakua huru
ila sasa
nimechoka kuwa mhanga wa aibu
muliniita majina ya ajabu nikiwa shule
na siamini kama hii ni ardhi yangu au chanzo changu (kwao ni africa)
najua unatambua nachukia kusema hivi
ila serikali haitaki kuona
kama RAIS ROOSEVELT angekua hai
asingeruhusu haya yawepo..
nichane kichwa,nichinje
kila mtu anakufa vibaya
hii hali,ubazazi (shutuma bila ushahidi)
kila mtu anauhasama (anadai)
nipige,nizingire
kamwe hauwez nifanya takataka
ninachotaka kusema ni kwamba hawajali hata kidogo kuhusiana nasi
kuna vitu katika maisha hawataki kuviona
ila kama martin luther angekua hai
asingekubali wala kuruhusu haya mambo yatokee....
nichane kichwani,nichinje nife
kila mtu anakufa kikatili
hii hali ya ubaguzi
kila mtu anatuhuma
maumivu ktk habar
tunafanywa chkula cha mbwa
nipige nitese
..........
NINACHOTAKA KUSEMA NI KWAMBAAAA HAWAJALI HATA KIDOGO KUHUSIANA NASI
Tazama video ya nyimbo hiyo ambayo marehem michael aliifanyia brazil
0 Comments