Baada ya mlipuko Uingereza, Ariana Grande arudi Marekani salama

Baada ya mlipoku kuchukua watu 22 kwenye show yake, msanii wa pop Ariana Grande amerudi nyumbani kwao Marekani akiwa salama na kupokelewa na mpenzi wake Mac Miller.
Ariana alitua kwenye kiwanja cha ndege cha Boca Raton, Florida leo May,23 2017.
Watu wa karibu na Ariana wamesema staa huyu yupo kwenye hali mbaya sana na kwamba bado yupo kwenye hali ya mshtuko.

Post a Comment

0 Comments