Kampuni ya burudani ya Live Nation imetangaza kurudisha pesa za walionunua ticket za show za muziki Uingereza kama wanaogopa kwenda baada ya shambulio la kigaidi.
Live Nation itarudisha pesa za show za UK za wasanii kama Katy Perry, Iron Maiden, KISS, Robbie Williams, Phil Collins, Depeche Mode na James Arthur.
Kampuni hii Live Nation imegundua uwoga mkubwa sana kwa mashabiki wa mpira na kikapu Uingereza baada ya shambulio ka kigaidi lililo tokea kwenye show ya Ariana Grande.
0 Comments