Rihanna na Lupita Nyong’o kwenye filamu mmoja, NI VIBAKA

Mshindi wa tuzo ya Oscar Lupita Nyong’o na Rihanna wataigiza kwenye filamu mpya ya ujambazi itakayoongozwa na Ava DuVernay (Selmana kuandikwa na Issa Rae (“Insecure”). Filamu hii itakuwa chini ya kampuni ya Netflix.

Filamu hii imepata ushawishi mkubwa kutoka kwenye picha ya mwaka 2014 ya Rihanna na Lupita kwenye onyesho la mavazi la Miu Miu.

Blogger maarufu kwenye mtandao wa #Tumblr ‘Elizabitch Taylor‘ alipost picha hii nakuandika ‘They look like they’re in a heist movie with Rihanna as the tough-as-nails leader/master thief and Lupita as the genius computer hacker.

Picha hii ilisamba sana mitandaoni na kupata NOTES 470,000.

Tazama Interview Za Mastaa Wako Kwenye Channel Yetu,BonyezaSAMMISAGOTV

WEKA COMMENTS HAPA

RELATED ITEMS

STORI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Huyu ndio msanii mpya wa WCB Wasafi aliyetambulishwa na Diamond Platnumz....Diamond Platnumz amemtambulisha msanii Mpya...
Rais wa WCB Wasafi Diamond Platnumz ametangaza kutambulisha msanii mpya kwenye lebo yake......Mmiliki wa lebo ya muziki...
Picha/Video, Ali Kiba kwenye UP SYNC BATTLE, kavaa kama Brenda Fassie na kuimba 'Vulindlela'....Bongo Fleva Super Staa Ali...
Orodha ya washindi wa tuzo za billboard 2017, Drake kaongoza kwa kushinda tuzo 13...Kutka Young Money, ni rapa...
Tuzo 3 alizoshinda Drake zenye jina la WIZKID ndio Hizi.....Drake amefanikiwa kushinda tuzo 13...

TAZAMA VIDEO YA JOTO YA DAR ES SALAAM FT CHEKEDAA-LOOK AT ME DANCE

Copyright © 2017 SamMisago.Com Haki Zote Zimehifadhiwa | Content by SamMisago.Com | Design Design by idodoe.co.tz ☛ idodoe.co.tz |

Post a Comment

0 Comments