Neno ‘Stan’ kutoka kwenye wimbo wa Eminem limewekwa kwenye Kamusi ya Oxford likimaanisha…..


Msikilizaji mzuri wa muziki wa hiphop utakuwa na ufahamu kuhusu wimbo #STAN wa Eminem kutoka kwenye album yake ya mwaka #2000 ya #Eminem.

Wimbo huu ulihusu kijana STAN aliyekuwa shabiki wa kupitiliza mpaka kumuuwa mpenzi wake aliyekuwa na ujauzito, na sasa kamusi ya lugha ya kingereza ya Oxford imesema neno STAN limethibitisha kuwekwa kwenye kamusi hii likiwa na maana ya ….STAN>>an overzealous or obsessive fan of a particular celebrity.” ikimaanisha Nishabiki aliyepilitiza kwa mapenzi na hisia kali kwa mtu maarufu” 

Post a Comment

0 Comments