Jinsi ya kupunguza mzigo {uchafu} kwenye computer yako, Tips to free up ...

Watu wengi hawatambui kuwa ukitumia computer yako kuna baadhi ya data
hujisave. Hii hupelekea computer kujaa na mtumiaji hushangaa tu kwa
kuona inajaa pasipo kuweka kitu chochote. Vitu hivyo vinapojaa bila
faida kwa mtumiaji bhasi huwa uchafu. Video hii itakusaidia kufuta
uchafu huo na kuongeza nafasi kwenye computer yakoComputer ikikosa
nafasi huwa nzito na humpelekea kero mtumiaji.Napokea ushauri,
mapendekezo {comment} usisahau kusubscribe. nichek 0625773039 #tutorial

Post a Comment

0 Comments