UCHACHE WANAFUNZI WALEMAVU KWENYE MICHEZO | BEI YA VIFAA VYA MICHEZO IPO JUU

Kutokana na wanafunzi wenye ulemavu kukosekana katika mashindano mbalimbali yanayoendeshwa mashuleni kama UMITASHUMTA na UMISETA, Walimu Mkoani Lindi wameeleza sababu ya wanafunzi hao kutoonekana wakishiriki kwenye michezo hiyo. 


 

Hii ni baada ya shirika linalojihusisha na misaada ya elimu na michezo kwa watoto na vijana Sports Development Aid mkoani Lindi, kusaidia Vifaa Maalumu vya michezo kama Mipira na jezi vyenye gharama ya shilingi milioni 3 wakiwa na dhumuni la kuwapatia wanafunzi wenye ulemavu katika Halmashauri zote ili nao waweze kushiriki katika michezo mbalimbali.



Post a Comment

0 Comments