Michambo Ya Lulu

Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni staa kutoka kiwanda cha filamu Tanzania, hii leo Feb 22 amezichukua headline kwa kuandika yafuatayo kupita mtandao wake wa instagram kuhusu kuzushiwa kifo.

>>>’Nasikia nimekufa wewe uliyepost  hii kama wewe utakwepo tutaonana tena 2017 inshaalah alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri Kwanza (niki repot LIVE kutoka heaven) this shows jina langu lina KIKI nishasema mniache jmn watsup Kufa nitakufa sikatai lkn mpk nimalize miaka iliyoandikwa kwenye Biblia’

elizabethmichaelofficialNasikia Nimekufa
Wewe uliyePost hiiKama wewe utakuwepo TUTAONANA TENA 2017 Inshaallah
Alafu jifunze na kuandika ELIZABETH vizuri kwanza
(Niki report LIVE kutoka heaven)
This shows how Jina Langu lina KiKinishasema MNIACHE JMNwatsup!???
Kufa ntakufa SIKATAI lkn mpk nimalize MIAKA ILIYOANDIKWA KWENYE BIBLIA

Post a Comment

0 Comments