Haya ndio maneno aliyoyaandika VITALIS MAEMBE katika mtandao wa facebook
"Shukran kwa Marafiki zangu na Madaktari
walioangalia hali yangu ya Afya baada ya kupigwa
na Polisi waliotumwa na Kaimu Mkuu wa Chuo
TaSUBa Bwana Michael Kadinde kunidhuru na
baadaye kuninyima PF3.
Shukrani kwa wote mlioshiriki kwa Wema kwenye
suala hili.
Sasa naendelea Vizuri ingawa uchunguzi wa afya
kwa majeraha niliyoyapata unaendelea.
Nipo nyumbani kwangu Dar, Mtoni, Mtongani.
Natakiwa tena mahakama ya wilaya Bagamoyo
22/06/2016
Msiogope na Msiongope!
"Itafuteni kweli kwani kweli itawaweka huru"
"Isemeni kweli japokuwa inauma"
"Msema kweli mpenzi wa Mungu"
Tanzania bora ipo njiani jikazeni!
'Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika'
Vitali Maembe 'Mswahili' 'Ashi
0 Comments