Moja ya headline iliyotoa nafasi bungeni ni pamoja na hii ya mbunge wa MkurangaAbdallah Ulega kuamua kumpa mtoto wake jina la ‘Tulia’ ikiwa ni ishara ya kukubali uwezo wa naibu spika Dk. Tulia Ackson.
Ulega amesema…>>>’Mke wangu mwaka jana alipoteza mtoto wa umri wa miezi tisa, mwaka wa majuzi pia alipoteza mtoto wa miezi tisa lakini hakukata tamaa na hatimae mwaka huu mambo yamependeza tumepata mtoto na mtoto huyu nitampa jina la Tulia‘
0 Comments