Waziri Mkuu wa Zamani na aliyekuwa Mgombea
Urais wa chama cha CHADEMA, Mh.Edward
Lowassa akijadiliana jambo na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, awamu ya tano, Dk John
Pombe Magufuli, mapema leo walipokwenda
kushiriki misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya
Rais Mstaafu awamu ya tatu, Mh Benjamin William
Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa jijini Dar leo
0 Comments