chakula ya ubongo no 2

KUANZA KWA KANISA LA KILUTHER NA ANGLIKANI KUNA SABABU ZA KIJAMII NA ZA KISIASA KULIKO KIROHO..MFANO MGOGORO WA UJERUMANI NA ITALY ULIPELEKEA UJERUMANI KUMPA SAPOTI MARTIN LUTHER KUJITENGA ILI WAO PIA WASIWE CHINI YA UTAWALA WA KIPAPA CHINI YA RUMI;PIA MARTINI LUTHER NAYE ALITAKA KUOA NA SHERIA ZA R.C ZINAMKINGA ..BADAE AKAMUO MJERUMANI AITWAYE KATHARINA VON BORA THOUGH AS THE PRIEST WAS NOT ALLOWED UNDER R.C..YEYE HAKUANZISHA DHEHEBU LA ULUTHER BALI WAFUASI WAKE. PIA KANISA LA ANGLICAN LILIANZISHWA NA MFALME HENRY VIII KWA KUWA NAYE ALITAKA KUWA HURU KUTOKA KTK UTAWALA WA KIRUMI CHINI YA PAPA..CHOCHOTE ALICHOFANYA ILIBIDI MPAKA APOKEE BARUA YA PAPA.. HIVYO ALIJITOA NA KUANZISHA DHEHEBU LAKE KAMA DINI YA ENGLAND YAANI ANGLICAN ILI AWE HURU KUOA MKE MWINGINE KULIKUWA NA SHIDA KTK NDOA YAKE YA MWANZO...

Post a Comment

0 Comments