chakula ya ubongo

MARTIN LUTHER ALIPINGA UWEPO WA SACRAMENT 7 AKATAKA ZIWE MBILI
RC WANAZO HIZI SABA
1)HOLY EUCHARIST
2)UBATIZO
3)PENANCE/KITUBIO
4)HOLY UNCTION
5)ORDINATION
6)COMFIRMATION/KIPAIMARA
7)NDOA
MARTIN LUTHER ALISIMAMIA KUWA WOKOVU UNAPATIKA KWA IMANI TU(SOLA FIDE) YAANI KAZI YA KIDHABIHU YA YESU. PIA ALISIMAMIACMAANDIKO TUU(SOLA SCRIPTURA) NA ALIWEKA MLANGONI THESES 95. MALKIA WA UJERUMANI ALIMSAPOTI LUTHER KWA SIRI.. 

KANISA LA UINGEREZA:

IKO VITA IJULIKANAYO KAMA "THE WAR OF THE ROSE" ILIYODUMU MIAKA 30.. HII NI VITA YA FAMILIA MBILI ZA KIFALME (KING HENRY VII + KING RICHARD III) FAMILIA ZILIZO PIGANA NI LANCASTER FAMILY VERSUS YORK FAMILY.. HUYU MFALME HENRY VII ALIKUWA NA MTOTO AITWATE ARTHUR(KING HENRY VIII)..UFARANSA ILIPIGANA NA UINGEREZA MIAKA 100 NA WAKATI HUO VITA HII ILIPUNGUZA MAKALI YA VITA VYA FAMILIA ZA KIFALME NA ARTHUR AKAMWOA CATHERINE WW ARAGON JAMBO LILILOPUNGUZA UHASAMA..WATAWALA WA UINGEREZA WALIKUWA EITHER WACATHOLIC AU WAPROTESTANTI

HENRY VIII-RC
EDWARD VI-MPROTESTANT
QUEEN MARY-RC
QUEEN ELIZABETH ALIKUWA MJANJA AKAAPPLY TECHNIQUE IITWAYO "VIA MEDIA" YAANI NJIA YA KATI HAKUWA R.C WALA MPROTESTANT BALI ALIYABEBA YOTE KWA KUPITA KATIKATI

SIFA ZA UPROTESTANTI:

I.)IMANI KUU
-maandiko ndiyo mamlaka ya mwisho(sola scriptura)
-kila mtu ni kuhani anaweza ongea na Mungu
-sola fide-ni kwa imani tuu mwamini anahesabiwa haki

II.)KUKUA KITHIOLOJIA
-waliacha kutoa heshima kwa watakatifu(Veneration of saints)
-cross from crucifix(matumizi ya msalaba usio na kisanamu cha Yesu)
-Theotokos(waliachana na fundisho la Mama wa Mungu)
FIKRA ZA KITHIOLOJIA yaani fundamentalism/liberaism(kukubali mabadiliko) na pentecostalism
III.)MAFUNDISHO
-uhusiano wa moja kwa moja na Mungu
-kila mwamini ana haki ya kutafsiri maandiko
-umishenari kwa sana

Post a Comment

0 Comments