Rapa kutoka Canada Drake ameonyesha heshima kubwa kwa msanii Celine Dion kwa kuinamana kubusu mkono wake huku akisema maneno ya kumpa sifu kubwa.
Wote wakiwa wanatoka Canada, Drake na Céline Dion walikutana back stage kwenye tuzo za Billboard Music Awards 2017 ambapo Drake alishinda tuzo 13 #Rekodi.
Celine usiku huo aliimba sound track ya “Titanic” “My Heart Will Go On” ikiwa ni miaka 20 ya filamu hio.
Drake anamuambia Celine “You’re very iconic.” na alijibiwa “Nimefurahi kukutana na wewe” naye Drake alimwambia Celine , ni mwaka mmoja tu umebaki nitachora tattoo yako…
Baadae walipiga picha pamoja na baba yake Drake, Dennis Graham.
Ney Wa Mit
0 Comments