Picha,Rick Ross achora tattoo ya Notorious B.I.G. kama kumbukumbu yake

Boss wa Maybach Music Group, Rick Ross amechora tattoo ya Notorious B.I.G. kwenye mgongo wake kama kumbukumbu ya rapa huyu mkubwa kwenye dunia ya HipHop.
Rozay ametuonyesha tattoo hii kwenye siku ya kuzaliwa ya Biggie Smalls

Post a Comment

0 Comments