The Game adhibitisha uwepo wa Kendrick Lamar kwenye album yake



Rapa The Game amesema msanii wa hiphop Kendrick Lamar atasikika kwenye album yake mpya na ya mwisho ya West Side Story.
Kwa mujibu wa post ya The Game, wasanii hawa wawili kutoka Compton watafanya colabo kwenye album hio.
Kwa sasa The Game anatumikia kifungo cha ndani kwa sasa huku akirekodi album yake ya mwisho na haya ndio maneno yake kuhusu colabo na Kendrick Lamar
Excuse my eyes….. I’m high as giraffe p***y #SaturdayNightLive Vibin’ wit my nigga @kendricklamar on this #WestSideStory shit…. to the studio to start my last album. #WaitForIt #ComptonStillUndefeated #ChuckDotDre #Aftermath #DAMN 👈🏾 #GrabDatASAP

Post a Comment

0 Comments