Pole Mwanalindi kwa Mvua Kubwa Iliyopelekea Maafa

Wilaya ya kilwa ilitangulia kupata mafuriko makubwa, yaliyopelekea
uaribifu na vifo vya watu wengi. Wilaya ya Lindi mjini na baadhi ya
sehem zingine za mkoa wa Lindi zikafuata kwa kupata athari kubwa
iliyotakana na mvua. 

Post a Comment

0 Comments